Hip hop smooth melody
WINO BOY
Niko hoi kwako.
Hooi tiki tiki.
Wee niendesheeee.
Kamapiki piki piki..
Lakini nikupate.
Nikimisi misi.
Nasasaka vichenjii.
Ili tukuspendi..
kuspendi nawewe baby..
Usichenjii
chorus.
akili mwili.
vyote nimekuachiyaaa.
ujue nakuitaji.
kuliko unavyofikiliyaa we..
aaiyaah iyaah iyaaaaah ..
wewe ndoile my namba.
ooiyooh iyooh iyoooooh.
kwengine ni stoli tu..
aaiyaah iyaah iyaaaaah.
wewe ndoile my namba one..
ooiyooh iyooh iyooh iyoooooh..
wangu waubaavu..
verse2
mtumjingaA anavunja penzi lake na mikono yake..
wote niwajiiinga iwe wanahume ama wanawake..
kama nikimwaga ugali.
ukimwaga mboga nawewe..
usitafuteeee mchawi.
apo tumejiloga wenyewee..
kama maneno mitaAani..
mbona yanazungumzwa deiilee.
kama ugomvi wewe namimi..
basi tumalize wenyewee..
mchumbaaaa Dali.
nikupemavumbaaaa mali..
nyumbaaaa Gali..
mjuuba sina hali...
chorus.
akili mwili.
vyote nimekuachiyaaa.
ujue nakuitaji.
kuliko unavyofikiliyaa we..
aaiyaah iyaah iyaaaaah ..
wewe ndoile my namba.
ooiyooh iyooh iyoooooh.
kwengine ni stor tu..
aaiyaah iyaah iyaaaaah.
wewe ndoile my namba one..
ooiyooh iyooh iyooh iyoooooh..
wangu waubaavu
kapo kama iih ikivunjika.
utawashangaza wengi.
maswali naogopa maswali.
maswali yatakuwa mengi
pakuiweka sulayangu wap
pakuiweka sulayangu iih
ndungu zangu wataniuliza..
rafiki zangu wataniliza mimiiih
iiiiiiiih ooohh
aaaahh.
Wiinooo
WINO BOY
NDENGE STANI
hasani iQ
One-time · keep this song forever
मुफ़्त AI गाना जनरेटर।
बनाना शुरू करें — यह मुफ़्त है